TIGblogs TIG | TIGblogs GROUP TIGBLOGS LOGIN SIGNUP
TUSEME KISWAHILI
Tumearifiwa kwamba kunalo kundi la wanaTIG wanaoshughulikia tafsiri ya Kiswahili ya tovuti nzima. Tukiyangojea matokeo ya kazi yao kwa hamu, tumeamua kuunda ukumbi huu ili kuwapa wasemaji wa Kiswahili fursa kujadiliana, kuchangia fikra zao na kujieleza katika Kiswahili. Nia yetu ni kuwaunganisha wanaTIG ambao, vinginevyo, hawangeweza kuwasiliana. Tuyavunje mapingamizi yanayotuzuia, na baadaye tutaweza kuiendeleza na kuitukuza lugha yetu . Tunakaribisha maandishi ya aina yoyote: Visa vifupi, makala, madondo kutoka shajarani zenu nk. Ombi letu ni moja tu: tafadhali changieni katika Kiswahili.


Word on the street is that members of a TIG group are working on translating the website so that it will eventually be available in Kiswahili. In the meantime, this is a forum for all speakers of Kiswahili to exchange ideas and to express themselves in Kiswahili. We would like to build bridges connecting TIGers from different communities who may otherwise not be able to communicate with each other. Let us break down the barriers holding us back so that we may develop and promote our language. Stories, journal entries, poetry and any other writing are welcome. All that we ask is that you express yourself primarily in Kiswahili.



« previous 5


Norma63   Norma63 Norma's TIGblog
Norma's profile

Utapiamlo (Malnutrition)

Ripoti Ya Benki Kuu Ya Dunia

Utapiamlo Unasababishwa Upotezaji Wa Uzito Wa Uchumi. Huchanga Nusu Ys Vifo Vyote Vya Watoto, Lakini Unaweza Kuiepuka. Reporti Mpya Ya Benki Kuu Ya Duniani
Nafasi ya njia bora ya kuzuia utapiamlo katika watoto ni kati ya wakati wa kupata mamba mpaka miezi 24


Utapiamlo Unasababishwa Upotezaji Wa Uzito Wa Uchumi. Huchanga Nusu Ys Vifo Vyote Vya Watoto, Lakini Unaweza Kuiepuka. Reporti Mpya Ya Benki Kuu Ya Duniani
Nafasi ya njia bora ya kuzuia utapiamlo katika watoto ni kati ya wakati wa kupata mamba mpaka miezi 24

Available in: English
Press Release No:2006/283/HD

Anuani:

In Washington: Phil Hay (202) 473-1796 - ofisi

(202) 409-2909 - cell

Phay@worldbank.org

Olivia Elee (202) 458-7318 – ofisi

Oelee@worldbank.org



WASHINGTON, Marchi 2, 2006—Reporti mpya ya benki kuu ya duniani huonya kamba utapiamlo unagharimu nchi za maskini kama asilimia 3 ya GDP yao wa kika mwaka, wakati watoto wenye utapiamlo wanadhima kwa kupotiza zaida ya asilimia 10 ya kupata uwezo wa maisha yao. Reporti inasema pia kwamba utapiamlo huweza kuongeza hatari za kuathiriwa na ukimwi, vilevile hupunguza idadi ya wanawaki na watoto wanaookoka malaria.



Kwa myibu wa reporti mpya – Kuweka Utapiamlo Kama katikati Ya Maendeleo – utapiamlo umekuwa kwa muda mrefu umejulikana kupunguzu maendeleo ya uchumina kuendelezo umasikini, nab ado kupinda cha miaka kumi jamui ya kimataifa na serikali nyingi katika nch zinazoendelea wameshindwa kushughulika utapiamlo, ijapokuwa kuna mtazamo yanayo tahiri kabisa kama reporti inauyosema “sasa chaguo cha muhimu nibaina ya kuendelea kushindwa, kama jumuia ya ulimwengu uliuyofanya na ukimwi kwa kupita miaka kumi au kwamwisho weak lishie kaikati ya maendeleo ili safu kubwa ya uchumi na maendeleo ya jamui yanayotegemea na lishie inaweza kutambua.”



Reporti husma kwamba nchi zinazoendelea ambazo ziwekeza pesa nyingi kwenye lishie ya watoto wao hupata faida kubwa kwa mfujaji yao. Kundi la wataalamu wa maendeleo ya uchumi duniani kwa mfano, pamoja na Nobel malenga wa ushairi yaliandika katika inaikitega imekuwa mojawapo waridhika ambayo nchi zinaaoendelea kupunguza umasikini na kuendeleza na maendeleo ya uchumi.



Jean-Louis Sarbib, makana wa rais mkubwa kwa maendeleo ya binadamu katika benki kuu ya duniani anasema, “ukosefu wa lishie imehusishwa katika nusu ya vifo vya watoto duniani – urari usio maradhi ya kuambukiza yeyote tangu vifo uyeusi: anasema unalingana fukara ya afya na tena mambo ya hali lakini badi, wafanye sera, wanasiasa na wachumi wanahindwa kutambua mambo haya kwa mfano, kiasi na asilimia sitini ya watoto wanakufa kutoka maradhi kawaida kama kipindukipinchu na malaria, wangeishi wangepata chakula cha kulishie ya kwanza.”



Utampiamlo haionyeshi umasikini tu – repoti huita “Non-income face of poverty” yaani inaendela umasikini. Sarbib anasema pia kwamba watoto wanaotapiamlo wana acha kwenda shule na wanapata mapato madogo wakikuwa: wazima, wakati wa kwendelea na lishie, inaogeza GDP na asilimia 2-3 katika nchi za umasikini na kuendesha maendeleo wa uchumi. “Kuweka hizi katika muktadha kuwa uchumi wa unchi nyingi zinazoendelea katika asilimia 2-3 kila mwaka, na kuendelea lishie itaiwezekana kumara dufu mwendo hii. Bado jamui ya mazingira hii mpaka sasa” Sarbib akasema.



Kwanani Utapiamlo Unaendelea



Kinyume cha utambuzi wa maoni utapiamlo si matokeo ya kupata chakula kidogo kula; kwa hakika watoto wengi wanaoishi nyumba yenye chakula kingi hawejaongezeka uzito kwasababu ya endeleza vibaya ya kulish watoto chakula fikara ya utumishi wa afya au fukari ya usafi. Katika nchi ambazo utapiamlo umeeneza, kilimo si mtiririko kikomo ijapokuwa kuna hati ya njaa. Bhaadi ya mtiririko muhumini:



· Wajamzito na wanawake wanaonyonyesha wanakula kalori kidogo saana na proteini ndogo, wanalathari yanayotendea vibaya, kama maradhi yanayopitisha kwa ngono yaliyosababisha kuzakliwa ya koo duni au hawapumziki vizuri.

· Wanawake wana muda mdogo tu kuwatunza watoto wao wakati wa ujamzito.

· Wanawala wanaojifungua wanatoa maziwa ya kwanza yanayojulikana kuwa “colostrumi” zinazotia nguvu kwa kukinya mwili za motto.

· wanawake mara nyingi huwalisha watoto wao chakula ambao hawajafika umriwa matiti hugawa maziwa peke ni njia bora ya virutubishi na njia ya kukinga maradhi yanayoathirika na yanayo kudu mika.



Athari za ukosefu wa lishie zinaonekana wakati wa ujamzito na katika chanzo cha miaka miwili ya maisha, na hasara hii ya chanzo zinazo athirikwa ni afya, maendeleo ya akili, busara, elimu, tija havinidisha mipango ya lishie yanayohusu watoto wakubwa yana athari ndogo tu. Ikiwa kuna matokeo ya usahidi wa kwanza unamaanisha kwamba asili ya kitambi na maradhi yasiyo kuambukiza kama’cardiocascular maradhi ya moye na ugonjwa wa kisukari yanaweza yawe chanzo cha utoto.



Benki inasema kwamba serikali za mali ambazo hazitoshi wanashauriwa kuchukua nafasi hii kama njia bora baina ya njamzito na umri wa mienzi 24 ingawa tendo la kuzui kitambi linaweza kuendelea badaye.



“Tunajua na tunafikiri kwamba huwapa watoto uyakula vingi na kuwalisha, lakini reporti hii huonyesha kuwa tumefanye kidogo tu kuendeleza ha lishie ya watoto kati ya ujamzito na mpaka miaka miwili semwa na Meera Shekar, mkuu mtaalam wa benki kuu ya dunia juu ya maendeleo ya binadamu, na mwandishu mkuu wa reporti mpya. “Uharifu wakati wa muda huu hauwezi kutengeneza. Tukikosa nafari tumekosa nafasi kuwasaidia watoto wote duniani.



Afrika na Asia kusin zimeathiriwa utapiamlo



Reporti inasema kuwa kiasi cha moja wa tatu chini ya miaka mithawo katika nchi zinazoendelea hawajaongezeka uzito na asilimia thelathini ya watu wa chini zinazoendelea huendelea kusumbuliwa na vitamini na madini lakini mambo haya yanabadilisha, utapiamlo umepanda sana katika sub-sahara Afrika utapiamlo na ukimwi unaimarishana, kwahiyo ushindi wa mipango wa ukimwi katika Afrika inategemea kwa upande Fulani juu ya kuwa uangalifu walishie.



Katika Asia, daraja la utapiamlo unapungua lakini Asia kusini bado inadara jo la juu na idadi kubwa wa watoto ambao wameathiriwa na utapiamlo. Kiyume cha maoni ya kawaidi, maeneo ya tapiamlo katika nchi zinazokuwa na watu wengi kama nchi za Asia kusini, India, Bangladeshi, Afganistani, Pakistani, zinadaraja kubwa asilimia thelathini na nane mpaka hamisini na moja kuliko zile sub-sahara Afrika ambazo ni asilimia 26.



Hasa katika Asia mashariki, latin Akerika na Ulaya nchi nyingi wana tatizo sana ya kutolishi au utapiamlo wa micronutrienti kwa mfano, Cambodia, Indonesia, Lao PDR, Philippini, na vietnami, Guatemala, Haiti, na Hondurasi, na Uzbekistani.



Praful Patel, makaimu wa rais wa mikoa ya Asia kisini alisema kuwa, “Tulijuakwahakika kuwa watoto wengi walioathiriwa na utapiamlo waliishi Asia kusini, lakini reporti hii inatuonyesha kuwa mambo ya ajabu ni kwamba kutolishie katika Asia kusini imeongezeka kuzidi mara mbili kukiko sub sahara Afrika kiasi nusu ya watoto nchini India hawali vizur. Kuligana na robo ya na watu wa sub sahara Afrika. Hali hii si vizuri, hata tukiangalia matokeo ya hali hii juu ya uchumi wa India. Benki kuu inafanya kazi sana na serikali kutia uguvu kapeni kupiga utapiamlo katika Asia kusini.



Kwa njia gani nchi zinaweza kuweka utofauti?



Ingawa kuna matatizo ya uchumi nchi nyingi zinazoendelea zimefanya vizuri kwa maendeleo kwa mfano, zaidi ya mbili ya tatu katika nchi zinazoendelea sasa wanaweka chumvi ya iodine. Katika vyakula vyao kupinga ukosefu ambao unawathiri watu billioni tatu na nusu hasa wanawake na watoto katika nchi mia moja na zaidi. Kiasi millioni mia nne ha hamsini ya watoto sasa wanapewa vitamini A capsules, kupinga ukosefu wa vifo vya watoto. Utafiti unaonyesha kuwa ingawa maendeleo ya uchumi unapunguza utapiamlo, mipangao ya lishie ya aina hii unamatokeo upesi upesi sana na ni bora kukilo nchi ambazo zinajitegemea maendeleo ya uchumi.



Kuendeleza lishie inahitaji nguvu ya wazazi wa jamaa, pia inahitaji uguvu ya wenyeji na kitaifa na pia huduma ya umma hasa mai ha usafi. Thailandi, imeonyesha kwamba utapiamlo kali unaweza kupungua kiasi sabini na tano au zaidi kutokana na njia haya. Njia nyingine ya kuendeleza lishie ni kuwapa watu afya nzuri na elimu ya lishie na huduma. Kwa mfano, kupandisha unyonyesho ya msingi juu ya huduma ya afya ya watoto.



Paul Gertler, mkuu wa uchumi katika cheo ya maendeleo ya binadamu katika benki kuu ya duniani na pia profesa wa afya ya uchumi na pesa katika chuo kikuu cha California, Berkley, alisema, “Tunaona uthibithi kwamba inaonyesha kwamba katika nchi zinazoendelea kidogo na nchi za umasikin kuna njia halisi kuendeeza lishie kule. Ujuzi katika Mexico, unaonyesha kuwa pesa zinazoingia nchi pamoja na afya na huduma ya lishie yaneruhushwa watu wa umasikini kuendeleza cheo cha lishie. Nchibnyingi kamaBangladeshi, Hondurasi, na Madagascari, kwa ushindi zimsambata uwezo wa jamaa kupinga utapiamlo pamoja na NGO kwa Kutumia njia halisi.”



Reporti mpya inatumaimisha nchi zinazotaka kupinga utapiamlo kwa njia ya halisi kutumia masomo kutoka njia haya ya uvumbuzi kuendeleza mipango ya lishie ya kitaifa ambao itakuwana nguvu kuwasaidia watu wengi duniani makosa ya zamani kuendeleza tendo la lishie inatokana na ukosefu wa ahadi ya serikali ambao inasababisha madai ya msaada katika lishie. Kwa halihii wajibu wa waraidizi wa kimataifa wakala wa maendeleo na watu wengine wanapaswa kufanya zaidi kuwasaidia serikali.



Wanahitaji kutumia nguvu zao za msaada utafiti na utetezi, kutia moyo na kushawishi serikali kuweka lishie juu katika mipango ya nchi. Vyombo vya habari duniani na kitaifa vina jukumu kubwa kuishawishi serikali kuangalia mambao ya lishie kwa uangalifu sana.



Kwa mwisho, ni muhimu kwa wasaidizi na nchi kurudia hali ya kisasa ambayo lishie haipati mfuko wa kutosha ili kupata ushindi. Maendeleo ya jamaa inahitaji mfuko kusaidia, ahadi na mpango pesa za dolla millioni tatu na sita zinahitajiwa kwa mambo haya.



Hesabu ya mwanzoni inaonyesha kwamba kiasi dolla 235 millioni (dolla mia mbili thelathini na tano millioni) kwa kila mwaka inahitajiwa kutatua na kuendelea mipango ya micronutrienti katika bara la Afrika. Gharimu ya mikoa nyingine na tena kwa upande Fulani wa lishie hajahesabiwa. Gharimu nyingine ni kubwa zaidi (dolla mia saba na hamsini millioni kwa dosi ya mili ya vitamini A kwa mwaka kati ya dolla billioni moja na nusu kwa chumvi ya iodine duniani pamoja na dolla mia nane millioni mpapa dolla laki moja na mbili illioni kutoka secta ya binafsi na dolla billioni nyingi kwa mipango ya lishie katika jamaa).



Benki kuu ya dunia inasema kwamba vitendo hii inahitaji kubaliano na tena kutendwa na uchi zinazoendelea pamoja na maendeleo ya jamaa kama eporti mpya inasema utapiamlo husababishwa umasikini na bila kulingana mana kutia mkazo juu ya matendo, “haitakuwa na maendeleo yeyote juu ya lishie au kupunguzu umasikini kamwe.”

###

Kwa taarifa zaidi katika kazi ya benki ya lishie nenda:
www.worldbank.org.nutrition

July 24, 2008 | 1:33 PM Comments  1 comments



Nekesa   Nekesa Terri's TIGblog
Terri's profile

NI HUKUMU YA MUNGU AMA NI NINI HASWA?
Related to country: Kenya
About the book: "Think Big"


Hivi karibuni kumekuwa na mitetemeko ya ardhi ambayo imetishia uwezekano kwa kuongezeka kwa baa la njaa hapo duniani. Katika nchi ya Uchina, ambayo itakuwa inai…….michezo ya olimpiki mwaka huu, mitetemeko hii imekuwa moja baada ya nyingine. Jambo ambalo laweza kuongezea idhadi ya nchi ambazo hazitashiriki katika michezo hii. Si tu kwasababu ya mitetemeko hii bali juu ya mambo ya kisiasa yanayoendelea kati ya nchi ya Unchi na Tibeti.
Hapa nchini Kenya pia twaarifiwa ya kuwa milima kumi na tani ambayo iko katika bonde la ufa, ina uwezekano ya kulipuka saa yoyote ile. Ni dhairi shairi kwamba Mlima kama Kenya ambao haujadhibitishwa bado kama una uwezo wa kulipuka. Habari hizi zimetwaliwa kulingana na wanasayansi wa Kigiografia kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi. Pia haijulikani kama milima kama Elgon iliyodhibitishwa haiwezi tena kamwe kufanya hivyo?
Jambo la kusikitisha ni kwamba nchi ya Kenya haijatilia maanani mawaidha ya wabageografia hawa ya kuweka vidhibiti katika ardhi ili kuichunguza kwa umakini mitetemeko hii. Vidhibit hivi vinagharimu karibu shilingi milioni tano tu na vyaweza kuinusuru nchi yetu na nchi zingine ambazo zategema Kenya kama Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia na hata Sudan.
Katika sekta ya ukulima pia ambayo ndio kufanyika sana katika Bonde hili la ufa, maafa yaweza kuwa zaidi ya yale tunatarajia. Bonde la ufa ndilo lililo na idadi kubwa zaidi ya watu nchini kwa hivyo kukaweza kutukia milipuko hii, twaweza kupoteza halaiki kubwa sana ya watu! Pia twajua ya kuwa sehemu hii ndio inayokuza chakula kingi cha kulisha nchi nzima! Hivyo basi tukiangalia pande zote mbili, tutawapoteza watu walio na nguvu za luendeza uchumi wetu na pia kupoteza nafaka ambayo nchi nzima inatarajia kutumia kama chakula!
Serikali lazima ijue ya kwamba ina jukumu kubwa la kuwakidhi, kuwalinda na kuheshimu maisha ya wananchi wao na sit u porojo za siasa kila mara! Ni muhimu serikali yetu kuweza kuweka chini mipango ya kuviweka vidhiti hivi ili kuikoa nchi yetu kutokana na janga hili linalotunin’ginia!
Lakini, ni Mungu ambaye antuhukumu ama nini twaweza kujiuliza? Lazima tuchunguze mienendo yetu ingawa tutaweza kuishi bila vvikwazo hivi amabvyo vimetusoga hivi karibuni.

May 22, 2008 | 4:58 AM Comments  2 comments

Tags:


Terri   Terri Terri-Ann Gilbert-Roberts's TIGblog
Terri-Ann Gilbert-Roberts's profile

Siku iliyopita ...

Siku iliyopita niliwaza na kuwazua juu ya walioathirika na kupoteza makao yao walivyojipata katika janga hili la ufukura usiooleweka hadi sasa! Mawazo haya yote yalinijia nikiwa nikishiriki misa kaninsani, na si ya kuwa misa hiyo ilikuwa si ya kufana la hasha, lakini mambo niliyoshuhudia yalinifanya kushikwa na ghababu kuu sana!

Tulipofika kanisani misa ilikuwa ishaanza na kwa hivyo hatukuwa na budi kujitetea kwa kwenda kujaribu kumshawishi mwalimu wa dini kutupa benchi moja ili tuweze kuitumia humo kanisani. Pengine bahati yetu kwasababu tuliweza kuwapata Vijana wavulana wawili waliotusaidia kubeba benchi ile. Mara tulipofika kanisani, kundi kubwa la watu lilivamia benchi hiyo na kukaa ikabidi mmoja wa Vijana hao kukosa hata nafasi ya kuweza kujisitiri! Lahaula, waliosema usistaajabu ya musa ya firauni hujayaona kweli alinena. Nilibaki mdomo wazi kwa vile sikuweza kufikiri ya kuwa jambo kama hilo lingeliweza kutendeka katika hadhara na kwa kusitiza hii iliyo na wakristo wanaomcha Mungu! Nilifunzwa tangu utotoni kumpa mtu yeyote haki yake na moja ya haki hizi kulingana name ni kumpa nafasi mtu aliyebeba benchi hiyo nafasi ya kwanza na ilkiwa itakuwa ipo bado basi wengine nao wafuate kuanzia wakubwazo!



Nilishangaa na kwa kuwa sikutaka kuonekana kuwa alipigwa na butwaa, mawazo mengi sana yalinijia na nikaweza kulinganisha yaliyotendeka na vile wahasiriwa waliopoteza makao yao yalivyonijia!



Jamani wenzangu twaweza kuishi maisha yasiokuwa na kuwanyang’anya wenzetu yaliyo yao ya haki??

April 2, 2008 | 6:04 AM Comments  3 comments

Tags:


Nekesa   Nekesa Terri's TIGblog
Terri's profile

Siku iliyopita ...

Siku iliyopita niliwaza na kuwazua juu ya walioathirika na kupoteza makao yao walivyojipata katika janga hili la ufukura usiooleweka hadi sasa! Mawazo haya yote yalinijia nikiwa nikishiriki misa kaninsani, na si ya kuwa misa hiyo ilikuwa si ya kufana la hasha, lakini mambo niliyoshuhudia yalinifanya kushikwa na ghababu kuu sana!

Tulipofika kanisani misa ilikuwa ishaanza na kwa hivyo hatukuwa na budi kujitetea kwa kwenda kujaribu kumshawishi mwalimu wa dini kutupa benchi moja ili tuweze kuitumia humo kanisani. Pengine bahati yetu kwasababu tuliweza kuwapata Vijana wavulana wawili waliotusaidia kubeba benchi ile. Mara tulipofika kanisani, kundi kubwa la watu lilivamia benchi hiyo na kukaa ikabidi mmoja wa Vijana hao kukosa hata nafasi ya kuweza kujisitiri! Lahaula, waliosema usistaajabu ya musa ya firauni hujayaona kweli alinena. Nilibaki mdomo wazi kwa vile sikuweza kufikiri ya kuwa jambo kama hilo lingeliweza kutendeka katika hadhara na kwa kusitiza hii iliyo na wakristo wanaomcha Mungu! Nilifunzwa tangu utotoni kumpa mtu yeyote haki yake na moja ya haki hizi kulingana name ni kumpa nafasi mtu aliyebeba benchi hiyo nafasi ya kwanza na ilkiwa itakuwa ipo bado basi wengine nao wafuate kuanzia wakubwazo!



Nilishangaa na kwa kuwa sikutaka kuonekana kuwa alipigwa na butwaa, mawazo mengi sana yalinijia na nikaweza kulinganisha yaliyotendeka na vile wahasiriwa waliopoteza makao yao yalivyonijia!



Jamani wenzangu twaweza kuishi maisha yasiokuwa na kuwanyang’anya wenzetu yaliyo yao ya haki??

April 2, 2008 | 6:04 AM Comments  3 comments

Tags:


Terri   Terri Terri-Ann Gilbert-Roberts's TIGblog
Terri-Ann Gilbert-Roberts's profile

Ni vema kabisa ...

Ni vema kabisa kuelewa swala au mswaada wa mambo yanavyo endela nchini Kenya.Hivi tunavyozungumza, sheria mbili mwafaka za kuidhinisha ofisi ya Waziri mkuu na pia tume ya kuchunguza na kuhakikisha ukweli na haki zimeshatiwa sahihi na sasa zangojea tu kuandikishwa rasmi .

Twaona kwamba pia wanasiasa wameweza kuyaweka masilahi ya wakenya kwanza na kwa moyo wote kuunga mkono miswaada hii. Katika bunge, twaona ya kuwa Rais Kibaki alihudumu kikao hiki cha tatu kama Mbunge wa Othaya na wala si kama rais. Hii ni dhairi shairi kwamba pia yeye ameunga mikakati inayo endelea ya kuwezesha amani nchini Kenya. Chama cha ODM ambacho kilionekana kuweza kuanza kuwa na migogoro hivi karibuni , kupitia kwa msimamo ambao Kigogo wa Pentagon bwana Ruto aliokuwa ameuchukuwa, kimefikia maelewano ambayo yameleta utulivu. Bwana Ruto ametangaza hadharani kuwa anaunga mkono kuteuliwa kwa Bwana Musalia Mudavadi kama Naibu wa waziri mkuu. Bwana Ruto alitangaza haya akiwa katika eneo lake la bunge la allipohodhuria sherehe ya kuwatuza wanafunzi bora katika shule ya wanafunzi ya wasichna ya Eldoret.Musalia Mudavadi anayejulikana kwa umaarfufu kama ‘Double M’ , ni mbunge wa Sabatia katika mkoa wa Magharibi.



Twaomba kama wakenya na hasa wana TIG ya kuwa miswaada iliyoutiwa sahihi, itafuata kwa makini na kila anayehusika atatia for a na kufanya jukumu lake la kuhakikisha ya kuwa mambo yaliyojadiliwa yatatimizwa.

March 20, 2008 | 11:03 AM Comments  2 comments

Tags:


« previous 5


Owner
This Group TIGBlog is owned by: R Kahendi.

Membership
You must be logged in to join this group TIGblog.

Latest Posts
Utapiamlo (Malnutrition)
NI HUKUMU YA MUNGU AMA...
Siku iliyopita ...
Siku iliyopita ...
Ni vema kabisa ...

Monthly Archive
January 2008
March 2008
April 2008
May 2008
July 2008

Change Language



14848 views
Important Disclaimer